NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA GHATI YA NYEMIREMBE, CHATO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 15 October 2019

NDITIYE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA GHATI YA NYEMIREMBE, CHATO

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akitoa maelekezo kwa Mhandisi George Mmpini wa kampuni ya V. J. Mistry (wa pili kulia) wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghati ya Nyemirembe wilayani Chato moani Geita.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghati ya Nyemirembe iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.
 
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (mbele) akitoka kukagua nyumba zilizojengwa kwa ajili ya kutoa huduma kwa abiria na mizigo kwenye ghati ya Nyemirembe, Chato mkoani Geita.

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (aliyeinua mkono) akisisitiza jambo kwa mhandisi George Mmpini wa kampuni ya V. J. Mistry wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghati ya Nyemirembe, Chato mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment