KATIBU MKUU TAMISEMI, ENG NYAMHANGA AKABIDHI OFISI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 21 January 2019

KATIBU MKUU TAMISEMI, ENG NYAMHANGA AKABIDHI OFISI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga akimpongeza Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga mara baada ya kumkabidhi ofisi kufuatia kuhamishiwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI wengine ni wajumbe wa Menejimenti ya sekta ya ujenzi.

No comments:

Post a Comment