Taswira ya Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 ambalo limefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.
TBS YAHIMIZA MATUMIZI SALAMA YA POMBE NCHINI
-
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu kwa wananchi wa Mkoa wa
Dodoma kuhusu madhara ya matumizi holela ya pombe, likilenga kuzuia athari
za kiafy...
3 hours ago









No comments:
Post a Comment