Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa
kuashiria ufunguzi wa mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani
Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni,
2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza taarifa ya mradi wa maji
na usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake
ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Shamrashamra za ufunguzi wa mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Nyashimo, Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.













No comments:
Post a Comment