RAIS SAMIA APEWA TUZO YA SHUKRANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 19 June 2025

RAIS SAMIA APEWA TUZO YA SHUKRANI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya shukrani kutoka kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuwahutubia wananchi wa Nyashimo, Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.

No comments:

Post a Comment