TIGO YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA WAKALA PUSH PROMOTION KWA MAWAKALA WA MIKOANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 20 January 2021

TIGO YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA WAKALA PUSH PROMOTION KWA MAWAKALA WA MIKOANI

Meneja wa Tigo kanda ya kusini Bw. Jensen Msechu pamoja na Meneja mauzo, Tigo BW. Francis Ndada wakimkabidhi mfano wa hundi Wakala na Mshindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Zuena Kyando Kutoka Tunduma.Huyu ni mmoja wa washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya kusini.


Meneja mauzo, Tigo mkoa wa Iringa BW. Samwel Chanai akimkabidhi mfano wa hundi Wakala na Mshindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Kutoka Iringa..Na huyu nae ni mmoja wa washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya kusini.

Meneja wa Tigo Mbeya, Fadhila Said pamoja na Meneja wa Tigo kanda ya kusini Tigo Bw. Jensen Msechu wakimkabidhi mfano wa hundi Wakala na Mshindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Ndaki Mayungwa Kutoka Tunduma

Na huyu ni mmoja wa washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya kusini.

Meneja wa Tigo kanda ya kaskazini , Said Idd akikabidhi mfano wa hundi kwa mawakala na washindi wa promosheni ya Tigo Wakala Push Omary Juma pamoja na Agustino Mturo kutoka Dodoma.

Hawa nao ni washindi waliofanya vizuri zaidi kutoka dodoma.





No comments:

Post a Comment