NAIBUKIGAHE ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO KWENYE UZINDUZI WA MWONGOZO WA UWEKEZAJIMKOA WA IRINGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 24 January 2021

NAIBUKIGAHE ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO KWENYE UZINDUZI WA MWONGOZO WA UWEKEZAJIMKOA WA IRINGA

 

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) akitembelea banda ya maonesho ya bidhaa za Assas Dairies Ltd wasindikaji wa Maziwa kwenye uzinduzi wa mwongozo wa uwekezaji wa mkoa wa Iringa uliofanyika katika Chuo kikuu cha Mkwawa mkoani Iringa, Leo Januari 23, 2020 (Picha na Eliud Rwechungura).


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) akitembelea banda ya maonesho ya bidhaa za Mufindi Paper wazalishaji wa karatasi na vifungashio kwenye uzinduzi wa mwongozo wa uwekezaji wa mkoa wa Iringa uliofanyika katika Chuo kikuu cha Mkwawa mkoani Iringa, Leo Januari 23, 2020.

No comments:

Post a Comment