WAZIRI KIGWANGALLA AHITIMISHA ZIARA YAKE JIMBO LA NZEGA VIJIJINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 15 October 2019

WAZIRI KIGWANGALLA AHITIMISHA ZIARA YAKE JIMBO LA NZEGA VIJIJINI

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Isanzu jimbo la Nzega Vijijini wakati akihitimisha ziara yake ya jimbo kuhamasisha maendeleo, kuzungumza na wananchi na kutatua kero.

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Viongozi wa CCM wa Kata ya Wela jimbo la Nzega Vijijini wakati akihitimisha  ziara yake ya jimbo ya kuhamasisha shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi. PICHA – Aron Msigwa –Nzega Vijijini.

No comments:

Post a Comment