RAIS DK MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, WIKI YA VIJANA NA KUMBUKIZI YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI LINDI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 15 October 2019

RAIS DK MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, WIKI YA VIJANA NA KUMBUKIZI YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu  Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia  kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019.

Mwenge wa Uhuru mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kupokea  kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu  Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Naibu Kamishna wa TAKUKURU Brigedia Jenerali john Mbungo ripoti aliyokabidhiwa na kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa wakati wa hotubia  yake kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Jukwaa kuu na viongozi wengine wa kitaifa  sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizoongoza katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Msanii wa Kizazi Kipya Kala Jeremiah akitumbuiza kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wengine wakiserebuka na Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ama Konde Boy kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Wabunge wa Lindi na Viongozi wengine wakiserebuka na Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama "Harmonize" ama "Konde Boy"  kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

Kikundi cha utamaduni cha Dege la Jeshi kikitumbuiza kwenye sherehe  za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20  ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.

No comments:

Post a Comment