Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya uzinduzi
wa Hospitali Kuu ya Rufaa ya Rais Julius Nyerere
(Hospital dos Queimados Presidente Julius Nyerere) iliyopo Kilamba, jijini Luanda, Angola, tarehe 01
Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Hospitali Kuu ya Rufaa ya Rais Julius Nyerere (Hospital dos Queimados Presidente Julius Nyerere) iliyopo Kilamba, jijini Luanda, Angola, tarehe 01 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo aalipotembelea hiyo.
Hafla ya uzinduzi ikiendelea
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Hospitali hiyo.
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akipokea zawadi ya picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya hafla ya uzinduzi wa Hospitali hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa João Manuel Gonçalves Lourenço, Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere, baadhi ya wanafamilia wa Baba wa Taifa kwenye picha na Wafanyakazi wa Hospitali Kuu ya Rufaa ya Rais Julius Nyerere baada ya uzinduzi wa hospitali hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa João Manuel Gonçalves Lourenço, wakiwa kwenye hafla hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakiwa kwenye hafla hiyo.














No comments:
Post a Comment