RAIS DK MAGUFULI AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA UZIMAJI MWENGE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 13 October 2019

RAIS DK MAGUFULI AWASILI MKOANI LINDI KUHUDHURIA SHEREHE ZA UZIMAJI MWENGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakwanwa mara baada ya kushuka kutoka katika ndege aina ya Bombadier ya ATCL
alipowasili  tayari kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Mnazi Mmoja akiwa njiani kuelekea mkoani Lindi kuhudhuria kwenye sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment