![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, Mhe. Dk. Samia Hassan Suluhu. |
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliohakikisha kuwepo kwa hali ya Amani na Utulivu huku kukitajwa kuwepo kwa fununu za maandamano yasiyo na kikomo
Ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Askari wa Jeshi la Polisi katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam.


No comments:
Post a Comment