![]() |
TUME HURUYATAIFA YA UCHAGUZ TANZANIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI JMEHUIRUYAAFATAG TAARIFA KWA UMMА TANZANIA KUHUSU UTEUZI WA WABUNGE WANAWAKE WA VITI MAALUMU KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAКA 2025 Dodoma, 07 Novemba, 2025 Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 66(1)(b) na 78(1) za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 zikisomwe pamoja na kifungu cha 112 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake kilichofanyika leo tarehe 07 Novemba, 2025 imefanya uteuzi wa Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 115 kati ya idadi ya Wabunge 116 wanaopaswa kuteuliwa. Aidha, nafasi ya Mbunge mmoja uteuzi wake utafanyika baada ya kukamilisha uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Fuoni - Tanzania Zazibar na Jimbo la Siha Tanzania Bara.
Ifuatayo ni orodha ya Wabunge Wanawake wa Viti Maalumu 115 walioteuliwa:
NA. JINA LA MBUNGE ALIYETEULIWA CHAMА 1. Agness Elias Hokororo CCM 2. Agness Mathew Marwa CCM 3. Aisha Msantu Mduyah CCM 4. Amina Ali Mzee CCM 5. Amina Good Said CCM 6. Amina Iddi Mabrouk CCM 7. Asha Juma Feruzi CCM & 1
Asha Omar Rashid CCM 9. Asha Ramadhani Baraka CCM 10. Asha Salum Motto CCM 11. Asya Ali Khamis CCM 12. Asya Sharifu Omar CCM 13. Athumini Omary Mapalilo CCM 14. Aysharose Ndogholi Mattembe CCM 15. Aziza Sleyumu Ally CCM 16. Bonnah Ladislaus Kamoli CCM 17. Catherine Canute Joachim CCM 18. Cecilia Daniel Paresso CCM 19. Chiku Athman Issa CCM 20. Christina Christopher Mnzava CCM 21. Christina Solomon Mndeme CCM 22 Devotha Daniel Mburarugaba CCM 23. Esther Lukago Midimu CCM 24. Esther Edwin Malleko CCM 25. Fatma Ally Rembo CCM 26. Ghati Zephania Chomete CCM 27. Grace Elias Mkoma CCM 28. Halima Abdallah Bulembo CCM 29. Halima Iddi Nassor CCM 30. Happiness Daniel Ngwado CCM 2 TUME HURUYATAIFA YA UCHAGUZ TANZANIA NA. JINA LA MBUNGE ALIYETEULIWA CHAMА 31. Hawa Mchafu Chakoma CCM 32. Husna Juma Sekiboko CCM 33. Jacqueline Chrisant Mzindakaya CCM 34. Jacqueline Kainja Andrew CCM 35. Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi) CCM 36. Jamila Mahmoud Juma CCM 37. Janeth Elias Mahawanga CCM 38. Janeth Peter Pinda CCM 39. Jasmine Chesco Ng umbi CCM 40. Jesca John Magufuli CCM 41. Jesca Yuda Mbogo CCM 42. Josephine Joseph Kapoma CCM 43. Josephine Tabitha Chagula CCM 44. Juliana Daniel Shonza CCM 45. Kabula Enock Shitobela CCM 46. Khadija Hassan Aboud CCM 47. Khadija Shaaban Taya (Keisha) CCM 48. Kijakazi Yunus Mohamed CCM 49. Latifa Khamis Juwakali CCM 50. Lucy Edward Mwakyembe CCM 51. Lucy Similya Kombani CCM 52. Lulu Guyo Mwacha CCM 53. Magreth Baraka Ezekiel CCM 3 TUME HURUYATAIFA YA UCHAGUZ TANZANIA NA. JINA LA MBUNGE ALIYETEULIWA CHAMА 54. Mariam Abdallah Ibrahim CCM 55. Mariam Anzuruni Mungula CCM 56. Mariam Madalu Nyoka CCM 57. Mariam Ussi Yahya CCM 58. Marirta Gido Kivunge CCM 59. Martha Festo Mariki CCM 60. Martha Nehemia Gwau CCM 61. Mary Francis Masanja CCM 62. Mary Pius Chatanda CCM 63. Maryam Azani Mwinyi CCM 64. Maryprisca Winfried Mahundi CCM 65. Mgeni Hassan Juma CCM 66. Mvita Mustafa Ali CCM 67. Mwanaenzi Hassan Suluhu CCM 68. Mwanahamisi Athumani Munkunda CCM 69. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge CCM 70. Mwantatu Mbarak Khamis CCM 71. Mwantumu Mzamilu Zodo CCM 72. Nadra Gulam Rashid CCM 73. Najma Murtaza Giga CCM 74. Nancy Hassan Nyalusi CCM 75. Naomy Duncan Mwaipopo CCM 76. Nasriya Nassir Ali CCM 4 TUME HURUYATAIFA YA UCHAGUZ TANZANIA NA. JINA LA MBUNGE ALIYETEULIWA CHAMА 77. Neema Gerald Mwandabila CCM 78. Neema Peter Majule CCM 79. Neema William Mgaya CCM 80. Ng'wasi Damas Kamani CCM 81. Nyamizi Simon Mhojа CCM 82. Pindi Hazara Chana CCM 83. Rahma Riadh Kisuo CCM 84. Rebeca Sanga Nsemwa CCM 85. Regina Christopher Malima CCM 86. Regina Henry Mikenze CCM 87. Regina Ndege Qwaray CCM 88. Rose Cyprian Tweve CCM 89. Salome Wycliffe Makamba CCM 90. Samira Khalfani Amour CCM 91. Santiel Eric Kirumba CCM 92. Selina Henry Kingalame CCM 93. Shadya Haji Omar CCM 94. Sheila Edward Lukuba CCM 95. Sikudhani Yassini Chikambo CCM 96. Stella Ikupa Alex CCM 97. Suma Ikenda Fyandomo CCM 98. Sylivia Francis Sigula CCM 99. Tamima Haji Abass CCM 5 & TUME HURUYATAIFA YA UCHAGUZ TANZANIA NA. JINA LA MBUNGE ALIYETEULIWA CHAMА 100. Taska Restituta Mbogo CCM 101. Tauhida Cassian Gallos CCM 102. Timida Mpoki Fyandomo CCM 103. Tinnar Andrew Chenge CCM 104. Tunu Juma Kondo CCM 105. Ummy Hamisi Nderiananga CCM 106. Yumna Mmanga Omar CCM 107. Yustina Arcadius Rahhi CCM 108. Zainabu Athman Katimba CCM 109. Zainab Abdallah Issa CCM 110. Zainab Rashid Kawawa CCM 111. Zena Maulidi Katambo CCM 112. Zeyana Abdallah Hamid CCM 113. Zuena Athumani Bushiri CCM 114. Devotha Minja CHAUMMA 115. Sigrada Mligo CHAUMMA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, inawapongeza wote walioteuliwa kwa nafasi ya Imetolewa na: Ubunge wa Viti Maalumu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzahia.


No comments:
Post a Comment