RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WAZEE DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 3 December 2025

RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WAZEE DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wengine alipokuwa akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.

Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 02 Desemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.

No comments:

Post a Comment