MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 15 November 2026

MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mheshimiwa Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe15 Novemba, 2026, kuhusu mafanikio ya Ziara ya Kikazi ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Antalya nchini Uturuki ambapo alishiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), pamoja na mikutano ya pembezoni ya Ngazi za Juu kuhusu masuala ya Nishati Safi ya Kupikia.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Ndugu Bakari Machumu, akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe15 Novemba, 2026, kuhusu mafanikio ya Ziara ya Kikazi ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Antalya nchini Uturuki ambapo alishiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), pamoja na mikutano ya pembezoni ya Ngazi za Juu kuhusu masuala ya Nishati Safi ya Kupikia.

Sehemu ya Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe15 Novemba, 2026, wakifuatilia mazungumzo kuhusu mafanikio ya Ziara ya Kikazi ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Antalya nchini Uturuki ambapo alishiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), pamoja na mikutano ya pembezoni ya Ngazi za Juu kuhusu masuala ya Nishati Safi ya Kupikia.

No comments:

Post a Comment