‘WALIOTAFUNA’ MILIONI 39.5 KIBAONI KUCHUKULIWA HATUA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 10 May 2024

‘WALIOTAFUNA’ MILIONI 39.5 KIBAONI KUCHUKULIWA HATUA

 

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu Mhe, Geophrey Pinda akizungumza katika mkutano wa hadhara kupokea taarifa ya uchunguzi wa Mapato na Matumizi kutokana na migogoro ya ardhi katika kijiji cha Kibaoni hamashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe katika wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Bi. Shamim Daud akisoma taarifa ya uchunguzi wa Mapato na Matumizi kutokana na migogoro ya ardhi katika kijiji cha Kibaoni.

Mkuu wa wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Alhaji Majid Mwanga akizungumza wakati wa uwasilishaji taarifa ya ukaguzi wa mapato na matumizi kutokana na migogoro ya ardhi katika kijiji cha Kibaoni halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi.

No comments:

Post a Comment