KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA GEITA AFUNGA MAADHIMISHO JUMA LA ELIMU KITAIFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 10 May 2024

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA GEITA AFUNGA MAADHIMISHO JUMA LA ELIMU KITAIFA

Sehemu ya wanafunzi toka sshule za msingi na Sekondari wakiwa kwenye maandamano ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala wa Mkoa huo, Dk. Elfas Msenya (kushoto) akipokea taarifa ya wadau wa elimu toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu
kwenye hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.



Katibu Tawala wa Mkoa huo, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa tatu kulia) wakielekea kukagua mabada ya wadau wa elimu kwenye hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu akitoa hotuba yake kwenye kilele cha Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala wa Mkoa huo, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa pili kulia) wakipata maelezo kabla ya kukabidhiwa darasa la mfano la elimu ya awali lililopo Shule ya Msingi Kalangalala lilogharimu takribani Tshs 5,650,000 kwenye hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka 2024 yaliyofanyika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

SERIKALI imeahidi kuendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuhakikisha inatatua changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya elimu, lengo likiwa ni kufanya maboresho zaidi katika maeneo yenye changamoto.

Kauli hiyo imetolewa mkoani Geita na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Dk. Elfas Msenya alipokuwa akifunga Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Alisema changamoto zote elimu zilizoibuliwa na wadau katika wiki hiyo zitaendelea kufanyiwa kazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo jamii ya eneo husika, lengo likiwa kuendelea kufanya maboresho kwenye sekta ya elimu kwa ujumla.

Akizungumzia changamoto zilizoibuliwa, amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Geita na timu yake kuhakikisha wanafunzi wote walioandikishwa na wenye umri wa kwenda shule wanaenda shule na wazazi wasiotaka kuwasomesha watoto wao waelimishwe na wasiotaka kubadilika wachukuliwa hatua za kisheria. 

“...Mnaweza kuanzisha sheria ndogo ndogo zitakakowabana wazazi wazembe au wanaowafanyiza kazi watoto wao nyakati za shule au kuwakataza watoto kwenda shule kwa visingizio mbali mbali,” alisema Dk. Elfas Msenya.

“...Nimeambiwa kuwa kuna mwamko mdogo wa wananchi katika kuwapatia watoto elimu hapa kutokana na shughuli za kiuchumi kama kilimo, uchimbaji madini na ufugaji ambavyo huathiri mahudhurio endelevu ya wanafunzi. Naagiza Mkuu wa wilaya timu yake kuhakikisha wanafunzi wote walioandikishwa na wenye umri wa kwenda shule wanaenda shule na wazazi wasiotaka kuwasomesha watoto wao waelimishwe na wasiotaka kubadilika wachukuliwa hatua za kisheria. 

Mnaweza kuanzisha sheria ndogo ndogo zitakakowabana wazazi wazembe au wanaowafanyiza kazi watoto wao nyakati za shule au kuwakataza watoto kwenda shule kwa visingizio mbali mbali.” alisema.


Kaimu Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akizungumza kwenye kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.


Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati ya Maandalizi ya Juma la Elimu Kitaifa mwaka 2024, Bi. Agnes Mgoji toka CAMFED Tanzania akizungumza kwenye kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa Geita, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu) akipata maelezo kabla ya kukabidhiwa darasa la mfano la elimu ya awali lililopo Shule ya Msingi Kalangalala lilogharimu takribani Tshs 5,650,000 kwenye hafla ya ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka 2024 yaliyofanyika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Wanafunzi wa awali wakiendelea na kipindi darasani mara baada ya darasa la mfano la elimu ya awali lililopo Shule ya Msingi Kalangalala kukabidhiwa kwenye hafla ya ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka 2024 yaliyofanyika Viwanja wa CCM, Kalangalala.


Kaimu Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (kulia) akipata ufafanuzi ndani ya darasa la mfano la elimu ya awali lililopo Shule ya Msingi Kalangalala kabla ya kukabidhiwa kwenye hafla ya ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka 2024 yaliyofanyika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu). Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa tatu kulia mbele), pamoja na Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati ya Maandalizi ya Juma la Elimu Kitaifa mwaka 2024, Bi. Agnes Mgoji toka CAMFED Tanzania (wa kwanza kulia) wakikagua Banda la Hakielimu kwenye hafla ya ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu). Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa pili kulia mbele) pamoja na viongozi meza kuu wakipata maelezo ndani ya Banda la Shule Direct kwenye hafla ya ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu). Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa pili kulia mbele) pamoja na viongozi meza kuu wakiendelea kukagua mabanda mbalimbali ya wadau wa elimu kwenye hafla ya ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa Geita, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu). Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa pili kulia mbele) pamoja na viongozi meza kuu wakipata maelezo mbalimbali ndani ya Banda la CAMFED Tanzania kwenye hafla ya ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu). Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa pili kulia mbele) pamoja na viongozi meza kuu wakipata ufafanuzi ndani ya Banda la Room to Read Tanzania kwenye kilele cha ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (kulia) pamoja na viongozi meza kuu wakipokea vitabu ndani ya Banda la Room to Read Tanzania walipokagua banda hilo kwenye kilele cha ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Kaimu Mkuu wa Programu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Nasra Kibukila akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (kushoto) alipotembelea Banda la TENMET kwenye kilele cha ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Kaimu Mkuu wa Programu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Nasra Kibukila akifafanua jambo kwa mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (kushoto) alipotembelea Banda la TENMET kwenye kilele cha ufungaji Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Katibu Tawala Mkoa wa Geita, Dk. Elfas Msenya (mwenye skafu). Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (wa pili kulia mbele) pamoja na viongozi meza kuu wakiendelea kukagua mabanda mbalimbali ya wadauwa elimu kwenye hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyankumbu wakitoa burudani kwenye hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Wanafunzi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Sehemu ya wanafunzi wakifuatilia hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Geita Adventist wakitoa burudani kwenye hafla ya ufungaji Madhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (Global Action Week for Education au GAWE) kwa mwaka huu 2024 yaliyofanyika katika Viwanja wa CCM, Kalangalala.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu akizungumza katika hafla hiyo, alisema wadau hao wa elimu wamefanikiwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa Elimu na kujadili changamoto zinazoikabili sekta ya elimu na namna ya kuboresha utolewaji wa huduma ya elimu mashuleni. 

Alisema katika maadhimisho hayo, wadau mbalimbali wameweza kutembelea na kujifunza mambo mengi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu hasa katika utengenezaji wa zana bora za kufundishia. 

Amebainisha kuwa wadau wa elimu wameguswa na ushiriki wa moja kwa moja wa Serikali kuanzia ngazi ya wizara hasa Wizara ya Elimu na OR- TAMISEMI, na pia ngazi ya Mkoa (Ofisi ya Katibu Tawala na Wilaya (Ofisi ya Mkurugenzi), ngazi ya Kata, Vijiji, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu kwa kuungana kufanikisha shughuli za maadhimisho.

Baadhi ya Mashirika ya Mtandao wa Elimu Tanzania yalioshiriki shughuli za maadhimisho ni pamoja na TEN/MET Sekretarieti, African Child Projects, Beyond Giving, Beyond Inclusion (BI), Previously Known as KCBRP, Community Transformation Alliance, Flaviana Matata Foundation, HakiElimu, Karagwe Environmental and Sustainable Development (KESUDE) na Plan International in Tanzania.

Mengine ni Right to Play, Room to Read, Save the Children (UK), Tanzania Programme, Shule Direct, TAI- Organisation, Transforming Life, UWEZO Tanzania, We World, New Light Children Centre Organization (NELICO), BOC - Brothers of Charity, AWPD - Action on Welfare for Persons with Disabilities, St. Justin Center for Children with Disabilities, Little Sisters of Saint Francis (LSSF), EOTAS - Environmental Oriented Training and Support, Sengerema Mshikamano on Disability pamoja na Sengerema CDH.

Wadau wengine ni CBIDO - Community Based Inclusive Development Organisation, MDREO - Muleba Disability Relief & Empowerment Organisation, Community Based Rehabilitation Rulenge, Salve Regina and Vulnerable Aid (SARDIVA), Disability Relief, Lake Victoria Disability Centre(LVDC), Foundation for Community Driven Development (FCDD), Community Aid and Social Education Empowerment (CASEE), Pestalozzi Childrens Foundation – PCF, CAMFED Tanzania.

Mashirika mengine ni Msichana Initiative, Forum for African Women Educationalists Tanzania (FAWETZ), Brac Maendeleo Tanzania (BMT), The Voice of Disabled Women in Tanzania (VODIWOTA), World Vision, Child Support Tanzania, Afriwag, Brac Maendeleo pamoja na CADA.


No comments:

Post a Comment