MWENYEKITI WA CCM NA RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 5 December 2022

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Disemba, 2022.

No comments:

Post a Comment