JK AONGOZA VIKAO VYA BODI YA GPE JIJINI DUBAI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 4 December 2024

JK AONGOZA VIKAO VYA BODI YA GPE JIJINI DUBAI

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza vikao vya bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) Jijini Dubai, kulia kwake ni Mheshimiwa Reem Al Hashimy, Waziri anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa wa Umoja wa Falme za Kiarabu na Mheshimiwa Dkt Kikwete ni Bi. Christine Hogan, Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE (kulia).

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Mheshimiwa Prof. Nasser Al Aqeeli, Naibu Waziri wa Elimu wa Ufalme wa Saudi Arabia. Kushoto kwa Mheshimiwa ni Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Christine Hogan na Mheshimiwa Waziri Reem Al Hashimy, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Umoja wa Falme za Kiarabu.

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza vikao vya bodi ya taasisi hiyo Jijini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Mheshimiwa Prof. Nasser Al Aqeeli, Naibu Waziri wa Elimu wa Ufalme wa Saudi Arabia. Kushoto kwa Mheshimiwa ni Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Christine Hogan na Mheshimiwa Waziri Reem Al Hashimy, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Umoja wa Falme za Kiarabu.

No comments:

Post a Comment