RAIS DK MAGUFULI AMWANDALIA RAIS WA MALAWI DK CHAKWERA DHIFA YA KITAIFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 7 October 2020

RAIS DK MAGUFULI AMWANDALIA RAIS WA MALAWI DK CHAKWERA DHIFA YA KITAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake   Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakiwasilli kwenye dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiwa wamesimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020

.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dk. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakiongea na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.


Wanamuziki wa Bendi ya Kilimanjaro "Wana Njenje" wakitoa burudani wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy ChakweraIkulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dk. Lazarus McCarthy Chakwera akongea wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake huyo Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dk. Lazarus McCarthy Chakwera akongea wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa mgeni wake huyo Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakigonganisha glasi na wageni wao Rais wa Jamhuri ya Malawi Mh. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.


Raisn Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakigonganisha glasi wakati wa dhifa ya Kitaifa aliyoandaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dk. Lazarus McCarthy Chakwera
jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba  7, 2020.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam katika Dhifa ya Kitaifa ambayo alimuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akimueleza jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Malawi Mhe. Eisenhower Mkaka wakati wa dhifa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alimuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi
Mh. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Ben Mashiba akifuatiwa na Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Chembe Munthali.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wageni wao  Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dk. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wa dhifa ya Kitaifa
Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa Jumatano Oktoba 7, 2020.



No comments:

Post a Comment