MGOMBEA MWENZA URAIS CCM, MHE. SAMIA AHUTUBIA MPANDA MKOANI KATAVI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 7 October 2020

MGOMBEA MWENZA URAIS CCM, MHE. SAMIA AHUTUBIA MPANDA MKOANI KATAVI

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa ndani ya Helkopta 5Y-HSN ya Chama Cha Mapinduzi, CCM akijiandaa kuruka kutoka Kijiji cha  Ikola Mpanda Vijijini Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kuelekea Mpanda Mjini baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni za  CCM Ikola  Jimbo la Mpanda Vijijini katika uwanja wa Ikola Stoo Octoba 06,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na kuzungumza na Umati wa Wananchi wa Kijiji cha Ikaka, St. Maria na Kasekese Mpanda alipokuwa njiani akielekea Ikola Mpanda Mkoani  Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Octoba 06,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM  2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Mpanda Vijijini Mhe. Moshi S. Kakoso kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano uliofanyika Octoba 06,2020 katika uwanja wa Ikola Stoo Mpanda Vijijini Mkoani Katavi.

Wananchi wa Ikola  Jimbo la Mpanda Vijijini wakiwa katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ulofanyika katika uwanja wa Ikola Stoo Octoba 06,2020.

Wananchi wa Ikola  Jimbo la Mpanda Vijijini wakiwa katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ulofanyika katika uwanja wa Ikola Stoo Octoba 06,2020.

Wananchi wa Ikola  Jimbo la Mpanda Vijijini wakiwa katika mkutano wa Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ulofanyika katika uwanja wa Ikola Stoo Octoba 06,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na kuzungumza na Umati wa Wananchi wa Kijiji cha Ikaka, St. Maria na Kasekese Mpanda alipokuwa njiani akielekea Ikola Mpanda Mkoani  Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Octoba 06,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na kuzungumza na Umati wa Wananchi wa Kijiji cha Ikaka, St. Maria na Kasekese Mpanda alipokuwa njiani akielekea Ikola Mpanda Mkoani  Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Octoba 06,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na kuzungumza na Umati wa Wananchi wa Kijiji cha Ikaka, St. Maria na Kasekese Mpanda alipokuwa njiani akielekea Ikola Mpanda Mkoani  Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Octoba 06,2020.

No comments:

Post a Comment