WASIRA AZUNGUMZA NA SUMAYE - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Tuesday, 25 February 2025

demo-image

WASIRA AZUNGUMZA NA SUMAYE

 

S2
Makamu Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira  akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu, kumtembelea ofisini kwake, Jumanne tarehe 25 Februari 2025.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *