KATIBU MKUU KIONGOZI, DKT. KUSILUKA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KITAIFA CHA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS NA MAAFISA HABARI WA SERIKALI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 17 December 2025

KATIBU MKUU KIONGOZI, DKT. KUSILUKA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KITAIFA CHA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS NA MAAFISA HABARI WA SERIKALI

Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Bw. Bakari Machumu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.

Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali walioshiriki Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.


No comments:

Post a Comment