RAIS SAMIA AFUNGUA KIWANDA CHA CHOKAA NA SARUJI MKOANI TANGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 27 February 2025

RAIS SAMIA AFUNGUA KIWANDA CHA CHOKAA NA SARUJI MKOANI TANGA

Sehemu ya Wananchi wa Muheza ambao walihudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa CCM Jitegemee Muheza mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni Limestone  katika hafla ya ufunguzi wa Kiwanda hicho mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi na usambazaji wa Nishati safi ya kupikia kwa Mkoa wa Tanga katika viwanja vya CCM Jitegemee kabla ya kuwahutubia wananchi wa Muheza  mkoani humo tarehe 27 Februari, 2025.

Sehemu ya Wananchi wa Muheza ambao walihudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa CCM Jitegemee Muheza mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni Limestone mara baada ya hafla ya ufunguzi ya Kiwanda hicho mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

No comments:

Post a Comment