NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA APONGEZA PAPU KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 20 January 2020

NAIBU WAZIRI JULIANA SHONZA APONGEZA PAPU KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 40

Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipongeza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi, na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe mara baada ya kuweka jiwe la msingi wa kuwa la msingi kwa ajili la ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika zoezi hilo limefanyika jana jijini Arusha.

Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (wanne kulia) akifuatilia maelezo ya namna jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika litakavyokuwa kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa usimamizi wa Ujenzi wa jengo hilo (jina lake halikufahamika) kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi uliyofanyika jana Jijini Arusha, wa kwanza kulia ni Waziri wa 
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (wapili kulia).

Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akiwasili katika eneo la kiwanja panapojengwa Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika eneo la Philips jana Jijini Arusha, wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Damas Ndumbaro, na wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano katika Sekta ya Mawasiliano Dkt. Jimmy Yonazi.

No comments:

Post a Comment