WASIRA AIBUKA TENA CCM, AUTWAA U-MAKAMU MWENYEKITI BARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 18 January 2025

WASIRA AIBUKA TENA CCM, AUTWAA U-MAKAMU MWENYEKITI BARA

 


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Stephen Wasira, mara baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa uliofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 18 Januari, 2025.(PICHA NA CCM).




No comments:

Post a Comment