RAIS DK. SAMIA, MKURUGENZI MKUU SHIRIKA LA AFYA DUNIANI DK. GHEBREYESUS WAZUNGUMZA NA WANAHABARI IKULU, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 20 January 2025

RAIS DK. SAMIA, MKURUGENZI MKUU SHIRIKA LA AFYA DUNIANI DK. GHEBREYESUS WAZUNGUMZA NA WANAHABARI IKULU, DODOMA

 

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari uliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

No comments:

Post a Comment