THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP

Habari Mpya

.com/img/a/

UCHAMBUZI

WASHINDI WA ‘NMB MASTABATA’ WAAGWA DAR, WATIMKIA DUBAI

JOE MUSHIFeb 26, 2025

 NA MWANDISHI WETUWASHINDI wa fainali ya msimu wa sita wa kampeni ya kuhamasisha matumizi na malipo kwa njia ya kadi iliyoendeshwa na Benki ya NM...

Habari Mpya

Soma Zaidi

Thursday, 3 April 2025

DKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SACE NCHINI ITALIA

1 day ago 0

 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Italia (SACE), Bi. Alessandra Ricci, Mjini Rome, ambapo ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya mkopo wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR), kipand...

Soma Zaidi

WANANCHI WATAKIWA KUKOPA MIKOPO INAYOTOLEWA NA SERIKALI NA TAASISI RASMI

1 day ago 0

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Bw. Binuru Shekidele, akikabidhiwa vipeperushi na Afisa Usimamizi wa Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bi. Elizabeth Mnzava, vyenye mada mbalimbal...

Soma Zaidi

WAAJIRI WATAKIWA KUITHAMINI TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI.

1 day ago 0

Na Mwandishi WetuWAMILIKI wa vyombo vya Habari nchini wametakiwa kuithamini Taaluma ya Habari kwa kuwalipa stahili zao na mishahara kwa wakati waandishi wanaofanya kazi katika vyombo hivyo.Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Bodi ya Ithibati ya Waandis...

Soma Zaidi

Wednesday, 2 April 2025

NMB YADHAMINI NA KUSHIRIKI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

3 days ago 0

Na Mwandishi WeruLEO Aprili 02, 2025, Benki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha, mkoani Pwani.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....

Soma Zaidi

WATAALAMU WAJADILI MCHANGO WAO KATIKA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIANCHI

3 days ago 0

 WATAALAMU Wabobezi katika sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi wamekutana jijini Arusha katika kongamano la siku moja kwa lengo la kujadili mchango wao katika kukabiliana na mabadiliko hayo, tarehe 31 Machi 2025. Kongamano hilo lime...

Soma Zaidi

TANZANIA NA CZECH WAJADILI KUSAINI MKATABA WA KUONDOA UTOZAJI KODI MARA MBILI

3 days ago 0

Kamishna wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye, akiagana na Balozi wa Czech Nairobi, Mhe. Nicol Adamcova’, baada ya kukamilika kwa mazungumzo kati yao kuhusu utiaji saini wa Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili kati ya nchi hizo ...

Soma Zaidi

Monday, 31 March 2025

RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA BARAZA LA EID EL FITR LILILOFANYIKA DAR

5 days ago 0

 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally akizungumza kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.Viongo...

Soma Zaidi

Sunday, 30 March 2025

UWEKEZAJI SAHIHI NA AKIBA ENDELEVU: NGUZO YA MAFANIKIO KWA WANANCHI WA MWANZA

6 days ago 0

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Bw. Steven Singila, akizungumza na Timu ya Wataalam ya kutoa Elimu ya Fedha, kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake, walipofika Ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa elimu ya fedha ikiw...

Soma Zaidi

Friday, 28 March 2025

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AZINDUA MATAWI YA NMB

8 days ago 0

Na Mwandishi WetuMAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa wananchi kuepuka wakopeshaji binafsi maarufu kama kausha damu ambao hutoza riba kubwa na kunyanyasa wateja kupitia ukamataji wa mali za wad...

Soma Zaidi

DKT MWAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA AFRITAC EAST

8 days ago 0

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Afritac East iliyoko chini ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bi. Clara Mira, baada ya mkutano wao kuhusu program ya kuongeza ujuzi na kuangalia...

Soma Zaidi
Page 1 of 165212345...1652Next »Last
Halotel+Mpango+Mzima

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *