.jpeg) |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na kikundi cha ngoma za asili cha Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kisutu mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026. |
 |

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzindua Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili kwenye hafla iliyofanyika Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)-Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment