DUA YA 40 YA MAREHEMU MAALIM HAFIDH AMEIR HASSAN - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 10 October 2026

DUA YA 40 YA MAREHEMU MAALIM HAFIDH AMEIR HASSAN

Wananchi mbalimbali wakiwa kwenye Dua ya 40 ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyekuwa mume wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Oktoba, 2026.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Dua ya 40 ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyekuwa mume wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 10 Oktoba, 2026.

No comments:

Post a Comment