RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA MABALOZI KATIKA ‘DIPLOMATIC SHERRY PARTY’ IKULU -DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 15 January 2026

RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA MABALOZI KATIKA ‘DIPLOMATIC SHERRY PARTY’ IKULU -DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Amidi wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Ahmada El Badaoui Mohamed Fakih, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Thabit Kombo, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Ikulu Ndugu Mululi Majula Mahendeka kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania katika sherehe ya Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party), Ikulu ya Chamwino, Dodoma tarehe 15 Januari, 2026. 

No comments:

Post a Comment