RAIS DK. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI, IKULU- DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 17 January 2026

RAIS DK. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI, IKULU- DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Palamagamba John Adan Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Patrobas Paschal Katambi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.

No comments:

Post a Comment