RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KUPANDA MITI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA UNGUJA-ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 27 January 2026

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KUPANDA MITI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA UNGUJA-ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment