RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI IBADA MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA HAYATI MWL. J K NYERERE KANISA KATOLIKI, PAROKIA YA MTAKATIFU FRANSISKO KSAVERI- MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 14 October 2024

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI IBADA MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA HAYATI MWL. J K NYERERE KANISA KATOLIKI, PAROKIA YA MTAKATIFU FRANSISKO KSAVERI- MWANZA

 






Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza.



No comments:

Post a Comment