Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki na kuhutubia katika Mkutano wa Ngazi ya Juu unaohusu Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha China mjini Beijing, tarehe 5 Septemba, 2024.
Rais Mwinyi ahamasisha jezi ya timu ya taifa ZNZ ivaliwe
-
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Hussein Ali
Mwinyi ametoa punguzo la Jezi za Timu ya Taifa ya Zanzibar ambazo awali
jezi h...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment