![]() |
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Bw Ludovick Nduhiye
akizungumza na wajumbe wa kamati ya ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi (hawapo
pichani) wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe hao, yaliyofanyika
Jijini Mwanza.
Naibu Katibu Mkuu Wizara Ya Ujenzi, Bw. Ludovick Nduhiye (wa
tatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi,
mara baada ya kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo
![]() |
Baadhi ya Wajumbe wa
Kamati ya Ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi Wakimsikiliza Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw . Ludovick Nduhiye (Hayupo Pichani), wakati
akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe hao, yaliyofanyika jijini Mwanza.
![]() |
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, BW. Ludovick
Nduhiye akitoa vyeti kwa baadhi ya
wajumbe wa kamati ya ukaguzi ya Ujenzi walioshiriki katika mafunzo ya
kuwajengea uwezo yaliyofanyika jijini Mwanza.
.jpg)
.jpg)
.jpg)

No comments:
Post a Comment