RAIS WA KONGO (DRC) MHE. TSHISEKEDI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 21 October 2022

RAIS WA KONGO (DRC) MHE. TSHISEKEDI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA

 

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mhe. Felix Tshisekedi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, Mhe. Jamal Kassim Ali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mhe. Felix Tshisekedi akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchni Kongo Mhe. Said Juma Mshana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mhe. Felix Tshisekedi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, Mhe.Jamal Kassim Ali aliyempokea baada ya kuwasili nchini kupitia kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ziara ya kitaifa ya siku nne kuanzia tarehe 21 - 25, Oktoba 2022.

No comments:

Post a Comment