TIA SINGIDA WAHITIMISHA TAMASHA LA WIKI YA MICHEZO, WAHIMIZWA KUHAMASISHA SENSA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 23 May 2022

TIA SINGIDA WAHITIMISHA TAMASHA LA WIKI YA MICHEZO, WAHIMIZWA KUHAMASISHA SENSA

Mgeni Rasmi Afisa Vijana Mkoa wa Singida Frederick Ndahani (mwenye skafu) akimkabidhi kombe kepteni wa timu ya mpira wa miguu ya Diploma mwaka wa kwanza, Anuary Amimu (kushoto) baada ya kuibuka washindi dhidi ya Timu ya Bachelor mwaka wa pili katika Tamasha la Michezo la wiki moja la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Singida lililofikia tamati leo Mei 23, 2022 katika viwanja vya kampasi hiyo mjini Singida. Kulia ni Mratibu wa Tamasha hilo, Mwalimu Ambwene Kajula na Muhadhiri Flora Lemnge. 

Furaha baada ya ushindi.

Mshindi wa MISS TIA, Haika Amiry (katikati) akiwa na mshindi wa pili Sumaiya Adam (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Tumaini Donald (kula) wakati wakiangalia fainali ya mpira wa miguu kati ya wanafunzi wa Diploma mwaka wa kwanza na Bachelor mwaka wa pili.

Furaha ya ushindi baada ya kukabidhiwa kombe kwa Timu ya Diploma mwaka wa kwanza.

Majaji wa tamasha hilo wakijitambulisha kwa staili ya kusakata rhumba.

Wanafunzi wakiwa kwenye tamasha hilo.

Tamasha likiendelea.

Bidhaa za Mjasiriamali Eddy Ice Cream ambaye ni mwanafunzi wa TIA zikioneshwa kwenye tamasha hilo.

Mjasiriamali Eddy, akielezea jinsi alivyopata wazo la kuanzisha ujasiriamali huo akiwa shuleni ambapo alitoa wito kwa wanafunzi wenzake kuwa wabunifu na kuanzisha biashara yoyote au kufungua kampuni wakiwa masomoni kama alivyofanya.

Meneja wa TIA Kampasi ya Singida Dk. James Mrema akikabidhiwa bidhaa zinazotengenezwa na wanafunzi wajasiriamali wa taasisi hiyo.

Bidhaa zikikabidhiwa kwa wanafunzi.

Dk. Mrema akipokea bidhaa za wajasiriamali wanafunzi.

Viongozi wa taasisi hiyo wakipata viburudisho kwenye tamasha hilo.

Mmoja wa wagombea nafasi ya MISS TIA akipita jukwaani na vazi la ubunifu.

Taswira ya tamasha hilo.

Washiriki wa MISS TIA wakiwa jukwaani na vazi la ubunifu.

Madansa wakionesha umahiri wa kusaka dansi.

Warembo wakipita jukwaani.

Warembo wakiwa jukwaani na vazi la utamaduni.

Warembo wakiwa na vazi la ufukweni.

Mrembo akipita jukwaani na vazi la ofisini.

Warembo wakiwa na vazi la ofisini

Madansa wakionesha umahiri wakulitawala jukwaa huku mmoja wapo akiwa ameruka juu

Vazi la ufukweni hilo

Vazi la ufukweni hilo.

Mrembo akipita jukwaani.

Vazi la utanashati likioneshwa.

Vazi la ofisini likioneshwa.

Vazi la ofisini hilo.

Vazi la ufukweni hilo likioneshwa.

Tamasha likiendelea..

Mashindano yakiendelea. mtanashati huyo akipita jukwaani.

Mshereheshaji (MC) akifanya yake jukwaani.

SIR.event Mwenzegule akifanya yake jukwaani.

Mrembo akipipita jukwaani na vazi la ubunifu.

Mrembo akipita jukwaani

Picha zikipigwa kwenye tamasha hilo.

Tamasha likiendelea.

Tamasha likiendelea.

Majaji wakiwa kazini.

No comments:

Post a Comment