WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI MHE. DKT. ASHATU KIJAJI AKABIDHIWA TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA SHERIA YA SEKTA YA HABARI MJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 16 November 2021

WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI MHE. DKT. ASHATU KIJAJI AKABIDHIWA TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA SHERIA YA SEKTA YA HABARI MJINI DODOMA

 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (wa pili kulia) akipokea taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (kushoto), jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.



Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula (kushoto) na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi mara baada ya Waziri huyo kuwakabidhi taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari kwa ajili ya utekelezaji aliyoipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (hayupo pichani), jijini Dodoma.


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) akionesha taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari mara baada ya kuipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (hayupo pichani), jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.

No comments:

Post a Comment