MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI, CHEMBA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 13 September 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI, CHEMBA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani Chemba, baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani Chemba , katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Kelema, kata ya Paranga, wilayani Chemba, baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment