WAZIRI MKUU, MAJALIWA ‘AMUOMBEA’ HAYATI DK MAGUFULI CHATO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 13 October 2021

WAZIRI MKUU, MAJALIWA ‘AMUOMBEA’ HAYATI DK MAGUFULI CHATO

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye kaburi la marehemu, wilayani Chato, Mkoani Geita, Oktoba 12, 2021. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti  ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. R.I.P.

No comments:

Post a Comment