MHE. RAIS SAMIA AZURU KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 14 October 2021

MHE. RAIS SAMIA AZURU KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipozuru Kaburi hilo leo Oktoba 14,2021. alipokua njiani akielekea katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kuzima Mwenye Maalum wa Uhuru.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Gwaride rasmi lililoandaliwa na Vijana wa Chipukizi Tanzania, alipowasili  katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita leo Oktoba 14,2021 kwa ajili ya kuzima Mwenye Maalum wa Uhuru baada ya kukamilisha mbio zake Tanzania nzima.


Vijana wa Halaiki.


Vijana wa Halaiki.

No comments:

Post a Comment