RAIS DKT. SAMIA ATOA POLE KARIAKOO, WALIOKUFA WAFIKIA 20 MAPOROMOKO YA GOROFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 20 November 2024

RAIS DKT. SAMIA ATOA POLE KARIAKOO, WALIOKUFA WAFIKIA 20 MAPOROMOKO YA GOROFA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua eneo la maafa ya ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Novemba, 2024. Rais amesema idadi ya waliopoteza maisha katika maafa hayo hadi sasa imefikia watu 20.

No comments:

Post a Comment