RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU MAALUM WA ALAT JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 27 September 2021

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU MAALUM WA ALAT JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.

Wageni waalikwa na washiriki wa mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.

Viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.

Wageni waalikwa katika mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.

Wageni waalikwa na washiriki wa mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.

No comments:

Post a Comment