Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya, akishuhudia umwagaji zege katika nguzo za msingi wa Daraja la JPM (Kigongo – Busisi), lenye urefu wa mita 3,200 wakati akikagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo, jijini Mwanza.
|
Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa Daraja la JPM (Kigongo – Busisi), Bw. Yang, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya (wa kwanza kushoto), wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa mita 3,200 ambao unatarajiwa kukamilika mwezi Februari 2024, jijini Mwanza.
|
|
Muonekano wa baadhi za nguzo za msingi za Daraja la JPM (Kigongo – Busisi), lenye urefu wa mita 3,200 zinazoendelea kujengwa jijini Mwanza. |
|
Kazi za ujenzi wa nguzo za msingi za Daraja la JPM (Kigongo – Busisi), lenye urefu wa mita 3,200 zikiendelea jijini Mwanza. Ujenzi wa daraja hilo umefikia asilimia 29.6 na unatarajiwa kukamilika mwezi Februari 2024. |
No comments:
Post a Comment