MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 29 July 2021

MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo baada ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. IKULU.

No comments:

Post a Comment