Watoto wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakiweka shada la maua mara baada ya mazishi ya babayao yaliofanyika, Chato. |
Baadhi ya maaskofu waliyoongoza ibada ya mazishi ya kiongozi huyo wa Tanzania wakiweka shada kwenye kaburi. |
Spika Job Ndugai pamoja na mkewe wakiweka shada kwenye kaburi la JPM. |
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa pamoja na mkewe nao wakishiriki kuweka shada kaburi la Hayati, JPM, kijijini Chato. |
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na mkewe nao wakiweka shada la maua kwenye kaburi la JPM. |
No comments:
Post a Comment