AFISA MTENDAJI MKUU NMB ASHIRIKI MAZISHI YA JPM MJINI CHATO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 26 March 2021

AFISA MTENDAJI MKUU NMB ASHIRIKI MAZISHI YA JPM MJINI CHATO

 

Akiwakilisha Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB - Ruth Zaipuna na baadhi ya viongozi wa Benki hiyo walikuwa ni miongoni  mwa waombolezaji walioungana na familia, ndugu, jamaa na Watanzania wote katika mazishi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mjini Chato.

Sehemu ya waombolezaji walioungana na familia, ndugu, jamaa na Watanzania wote katika mazishi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa katika ibada ya mazishi mjini Chato.

Ibada hiyo ya mazishi ikiendelea.

No comments:

Post a Comment