MSAFARA WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA KATIKA AWAMU YA TANO HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI WAWASILI MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 26 March 2021

MSAFARA WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA KATIKA AWAMU YA TANO HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI WAWASILI MWANZA

Makamanda wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. PICHA NA IKULU.

Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ukipita katika barabara ya Airport kuelekea katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli za kuagwa na maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mwanza na mikoa jirani leo tarehe 24 Machi 2021.

No comments:

Post a Comment