RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA UGANDA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MUSEVENI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 12 May 2026

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA UGANDA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MUSEVENI

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Uganda kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Yoweri Kaguta Museveni tarehe 12 Mei, 2026. 

No comments:

Post a Comment